"Miracles"
— 演唱 Atosha Kissava
“Miracles”是在唱片公司“Atosha Kissava”的官方频道05 六月 2024上发布的乌干达上演唱的歌曲。发现有关“Miracles”的独家信息。查找 Miracles 的歌词、翻译和歌曲事实。根据互联网上的一条信息,收入和净资产是由赞助商和其他来源累积的。“Miracles”这首歌在已编译的音乐排行榜中出现了多少次?“Miracles”是一个著名的音乐视频,在热门排行榜上占据一席之地,例如前 100 乌干达 首歌曲、前 40 乌干达 首歌曲等。
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Miracles" 事实
“Miracles”在 YouTube 上的总观看次数达到了 655 次,点赞次数达到了 26 次。
这首歌已在 05/06/2024 上提交,并在排行榜上停留了 0 周。
音乐视频的原始名称是“ATOSHA KISSAVA - MIRACLES (OFFICIAL AUDIO LYRICS)”。
“Miracles”已在 Youtube 上的 04/06/2024 11:53:43 发布。
"Miracles" 歌词、作曲家、唱片公司
Stream in All platforms
Follow Atosha Kissava
Instagram:
Facebook:
Audio;@Depromusic
Guitar ;@EmmanuelShilla
Video; Kwetu Studioz (Xaddagreat)
Appreciations;@delight music
MIRACLE
Wimbo huu Unatukumbisha Watoto wa Mungu kwa habari ya Nguvu ambayo Mungu ametupatia katika Kuumba lolote tunalilitaka kwa Vinywa vyetu.
(Mithali 18:21)
(Mauti na Uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao Watakula matunda yake)
Watoto wa Mungu hatupaswi kujinenea Mabaya Hata Kama Hali ya mazingira yanaonesha hofu na kukatisha tamaa.
(Yoeli 3;10 b)
Na aliye dhaifu aseme Mimi ni hodari
Amua Leo kuanza kujinenea Ushindi Hata katikati ya Giza nene.
(Your Life Goes where your Tongue Goes)
LYRICS
Is the Year of Miracles
(I testify the Powerd me)
Is the Year of Miracle’s for me
( I testify the healed me)
My God has announced it already
( I testify The Quo-queerer me)
I testify in the Might Name of God
( I testify I testify)
My everything this year be Good good oooo
(I testify the powered)
Declaring the Victory in everything I do eeee
(I testify the the healed me)
My God Has announced it already
( I testify The Quo-queerer me)
I testify In the Might name of God
( I testify I testify)
VERSE 1
Neno la Mungu linasema aaa
Uzima na Mauti viko mbele yako oh
Na utakacho Chagua aaa
Hicho ndicho kitakacho kuwa chako oo
Nimechagua Uzima
Nimechagua Maisha marefu
Nimechagua Afya njema
Nimechagua Maisha ya Juu
Nimechagua Furaha
Nimecha Mafanikiooo ooo
Nimekataa kuonewaa
Nimekataa umasikinii
Nimekataa maisha ya Chini
Chini Mauti
Chini kuna Mikosi iii eee
CHORUS
I say
This is the Year of Miracles
(I testify the powered me)
Is The Year of miracles for me
( I testify The Healed me)
My God has Announced it Already
( I testify The aqua-queerer me)
I testify in the Might name of God
( I testify I testify)
My everything this year be Good good oooo
(I testify the powered)
Declaring the Victory in everything I do eeee
(I testify the the healed me)
My God Has announced it already
( I testify The The aqua-queerer me)
I testify In the Might name of God
( I testify I testify)
VERSE 2
Unasema nini Juu ya maisha yako
Unasema nini Ya kazi yako
Unaaa sema nini Juu Afya yako
Wewe Unasema nini Juu ya huduma yako oo
(Kile Utasema Sema sema kwa kunywa chako
Hicho kita kuwa kuwa kuwa chako)*2
BRIDGE
Mimi Ni mshindi
(Mimi ni Mshindi)*3
Mimi ni wa Juu
( Mimi ni wa Juu)*3
Nina Afya njema
(Nina afya njema)*3
Nimefanikiwa
(Nimefanikiwa)*3
CHORUS
I say
This is the year of Miracles
( I testify the Powered me)
Is the Year of miracles for me
( I testify the healed me)
My God has announced it already
( I testify The The aqua-queerer me)
I testify in the might name Of God
(I test I testify)
My everything this be Good good oo
(I testify The powered)
Declaring the victory in everything I do eeeh
( I testify the healed me)
My God has announced it already
( I testify me)
I testify in the might Name of God
( I testify I testify)
THE END….
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: