"Nisiulizwe"
— 演唱 Jux
“Nisiulizwe”是在唱片公司“Jux”的官方频道16 二月 2024上发布的坦桑尼亚上演唱的歌曲。发现有关“Nisiulizwe”的独家信息。查找 Nisiulizwe 的歌词、翻译和歌曲事实。根据互联网上的一条信息,收入和净资产是由赞助商和其他来源累积的。“Nisiulizwe”这首歌在已编译的音乐排行榜中出现了多少次?“Nisiulizwe”是一个著名的音乐视频,在热门排行榜上占据一席之地,例如前 100 坦桑尼亚 首歌曲、前 40 坦桑尼亚 首歌曲等。
|
Download New Songs
Listen & stream |
|

"Nisiulizwe" 事实
“Nisiulizwe”在 YouTube 上的总观看次数达到了 16.6M 次,点赞次数达到了 54.2K 次。
这首歌已在 16/02/2024 上提交,并在排行榜上停留了 63 周。
音乐视频的原始名称是“JUX - NISIULIZWE (OFFICIAL AUDIO) [VISUALIZER]”。
“Nisiulizwe”已在 Youtube 上的 16/02/2024 15:00:17 发布。
"Nisiulizwe" 歌词、作曲家、唱片公司
Unveiling the "NISIULIZWE" Visualizer by Jux
Immerse yourself in a visual masterpiece directed by Xniper Cg, complementing the soulful melody of Jux's latest
;🌟 The Kompa Sound, crafted by S2Kizzy, harmonizes seamlessly with the emotive
;🎶🎬 Executive Producer SwaggDaddyRay ensures a perfect blend of
;Experience the magic now!
© 2024 AFRICAN BOY REC
Jux - Nisiulizwe Lyrics
Yo yo, you’re so fine
Babe (Hey)
I do this for you
Aah ah, Mmmh
Verse:
Nahisi, Niko kwenye njozi
Huba limenikolea, Kuamka sitamani (Yee)
Tena nakusihi, Ulilinde penzi
Mwenzako nimenogewa, Hoi tahabani (Hoi tahabani)
Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu
Wangu daktari
Kukupenda, Ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, Nipe taratibu
Huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe no no!
Chorus:
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Sababu I Love You
Eeeh
I Love You
Mmmh
Verse:
Naanzaje kukucheat, nakifata kipi ?
Hakuna jipya duniani, nishafanya utafiti
Tena umewaacha mbale, Ulipo we hawafikii
Maombi yangu toka kale, Nimepata rafiki (Mmmh)
Na hata nikiumwa, We ndo unanitibu
Wangu daktari
Kukupenda, Ni wajibu
Nisiulizwe maswali
Baby, Nipe taratibu
Huo utamu asali
Kukupenda ni wajibu
Nisiulizwe no no!
Chorus:
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Kwako nitang’ang’ana (Nitang’ang’ana nawe)
Sababu I Love You
Eeeh
I Love You
#Jux #Nisiulizwe #King